RAIS MWINYI : AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA HAYATI MZEE MWINYI
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaongoza viongozi mbalimbali na wananchi katika Dua Maalum ya kumuombea aliyekuwa...
ENDELEZENI MAFUNZO YA DINI -MAJALIWA
▪️Asema ushiriki wa Rais Dkt. Samia kwenye tuzo hizo ni kielelezo cha namna anavyothamini na kuiishi Imani ya Dini ya Kiislam na uhifadhi wa...
WAKANDARASI WASIMAMIWE KUTEKELEZA MIRADI YA NISHATI KWA WAKATI – KAPINGA
📌Aagiza wasimamiwe kwa karibu kumaliza miradi
📌Awataka Watendaji TANESCO kuwa na mahusiano mazuri na wananchi
Tanga
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka watendaji wa Sekta...
WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MAKABIDHIANO YA ZANA ZA KILIMO
▪️Ni mpango wa Serikali wa kukabidhi zana za kilimo kwenye vituo 45 vya zana nchini.
▪️Trekta tano na majembe yake yakabidhiwa.
▪️Asisitiza ni mpango wa Rais...
RAIS DK. MWINYI: SERIKALI ITAENDELEA NA MIKAKATI MBALIMBALI KWAAJILI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI MIKUBWA
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali Itaendelea na mikakati mbalimbali kuhakikisha inawekeza kwa ajili...
RAIS DK.MWINYI: WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KUENDELEA KUWASAIDIA MASIKINI,WAJANE NA YATIMA KATIKA JAMII
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaji Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Waumini wa Dini ya Kiislamu kuweka Mkazo wa...
TANZANIA YAJIVUNIA USHIRIKIANO KATI YAKE NA KUWAIT
Dar es Salaam
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inajivunia ushirikiano wa kidiplomasia uliopo kati yake na nchi ya Kuwait katika biashara, uchumi na...
RAIS MWINYI:SMZ ITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWENYE BIMA.
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Kushirikiana na Mamlaka...
OPARESHENI YA KUWADHIBITI FISI SIMIYU YAONESHA MAFANIKIO MAKUBWA
*Zaidi ya Fisi 16 wavunwa.
Simiyu.
OPARESHENI maalumu ya kuwadhibiti wanyamapori wakali na waharibifu aina ya fisi waliokuwa wanaleta taharuki na madhara Kwa jamii inayoendelea Mkoani...
PROFESA MKENDA: TAEC KUSIMAMIA KWA UMAKINI MASOMO YA ELIMU YA JUU YA...
Dar es Salaam
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameitaka bodi mpya ya Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kusimamia...