TANZANIA NA UNODC KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA KUKABILIANA NA UHALIFU WA MAZINGIRA
Dar es Salaam
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya na Uhalifu, Ofisi ya...
WAZIRI MKUU AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI UWANJA WA NDEGE SHINYANGA
▪️Amtaka mkandarasi kuharakisha uwekaji wa taa kwenye uwanja hio ili uanze kutumika nyakati za usiku.
▪️Asema hana shaka na viwango vya ujenzi vya uwanja huo.
▪️Amesema...
DK. BITEKO AWAHIMIZA WATANZANIA KULIOMBEA TAIFA
📌 Asema amani ya nchi ilindwe kwa wivu mkubwa
📌Asisitiza uchaguzi Mkuu wa Oktoba usiligawe Taifa
📌Asema Watanzania waendelee kumuombea Rais Samia kwa kazi nzuri anazofanya
📌...
BUNGE LAPITISHA NYONGEZA YA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 945.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025
Dodoma
BUNGE limepitisha nyongeza ya mapato na matumizi ya jumla ya shilingi bilioni 945.7 kwa ajili ya kuongeza kwenye Bajeti ya Serikali ya mwaka...
KAPINGA ASHIRIKI KIKAO CHA MAWAZIRI WA KISEKTA ARUSHA
📌 Tanzania, Rwanda, Uganga kusaini MOU kuendeleza mradi wa kufua umeme wa pamoja wa Nsongezi
📌 Baraza kusimamia Kongamano na Maonesho ya 11 ya Petroli...
WAZIRI MKUU AZITAKA MAMLAKA ZA MIKOA, TAASISI ZA ELIMU KUSIMAMIA UTEKELEZAJI SERA YA ELIMU
▪️Asema Sera hiyo ni Maono na Maelekezo ya Rais Dkt. Samia.
▪️Asisitiza tuzo ya Global Goalkeeper Award aliyopewa Rais Dkt. Samia ni kielelezo cha utashi...
DK.MWINYI: ZANZIBAR ITAENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA ROMANIA
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kuimarisha ushirikiano na Romania katika nyanja mbalimbali za...
BARRICK YACHANGIA SHILINGI TRILIONI 3.6 SERIKALINI KWA KIPINDI CHA MIAKA MINNE
*Yachangia Zaidi ya Shilingi Trilioni 11 katika Uchumi wa Tanzania
*Gawio la Zaidi ya Shilingi Bilioni 412 latolewa kwa Serikali
Dodoma
KAMPUNI ya Uchimbaji Madini ya...
RC CHALAMILA AFANYA ZIARA TEMEKE
-Akagua miradi ya mbalimbali ya maendeleo na kuongea na wananchi
Dar es Salaam
MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amefanya ziara ya...
MAJALIWA AITAKA TARURA KUWASIMAMIA WAKANDARASI BINAFSI
▪️Asisitiza Serikali itaendelea kuwawezesha wawekezaji wazawa
▪️Aeleza mpango wa Serikali wa kukabiliana na ugonjwa wa Malaria nchini
Dodoma
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala wa Barabara...