Waziri Mkuu Majaliwa Kuzindua Wiki ya Vijana Mkoani Mbeya
Na. OWM – KVAU- Mbeya
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Maadhimisho ya Wiki...
Mgombea ubunge wa CUF auawa Kilimanjaro
Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro
JESHI la polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu 8 kwa tuhuma za mauaji ya Daudi Wilbard Ntuyehabi, aliyekuwa ni mgombea Ubunge...
Waziri Mkuu atoa maagizo Wizara ya Madini
⬛Aitaka ifuatilie kampuni zilizoshika maeneo bila kuyaendeleza
⬛Aipongeza kampuni ya Huaer International kwa uwekezaji.
⬛Asisitiza uwekezaji huo ni utekelezaji wa Maono ya Rais Dkt. Samia
Na Mwandishi...
Walimu ni nguzo ya maendeleo-Majaliwa
📌Asema Walimu ni fahari ya nchi na chimbuko la uvumbuzi na ubunifu
📌Dk. Biteko asema ualimu ndio taaluma inayomtengeneza mtu awe bora kuliko hata ualimu...
Serikali yaingiza mabasi 60 njia ya Kivukoni-Kimara-Majaliwa
Asema sasa njia hiyo itakuwa na mabasi 90
Asema lengo ni kuhakikisha kero ya usafiri katika njia hiyo inakwisha
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
WAZIRI...
Faris nyumbani kwa Askofu Benson Bagonza
Na Mwandishi wetu, Kagera
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani sambamba na viongozi wa...
Wadau pazeni sauti kutokomeza ukatili wa kijinsia nchini
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
WADAU wametakiwa kuendelea kushirikiana na jamii kupaza sauti kwa pamoja ili kutokomeza ukatili wa kijinsia unaoendelea kuwa tatizo...
Viwango vya udumavu na ukondevu vimepungua nchini
Asema Serikali kuwa lishe ni nguzo ya maendeleo ya rasilimali watu, uchumi na jamii
Asema kiwango cha uzito uliozidi na uzito kupita kiasi hasa wanawake...
Dk.Biteko awapa heko wachimbaji wadogo wa madini
📌 Mchango wa wachimbaji wadogo wa madini waongezeka kutoka 20% mwaka 2020 hadi 40% mwaka 2024
📌 Teknolojia za kisasa za uchenjuaji madini zatajwa kuwa...
UN yaitaja Tanzania kinara ongezeko la watalii
Na Mwandishi Wetu
TANZANIA imejumuika na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Utalii Duniani inayofanyika Septemba 27 kila mwaka, huku imeendelea kutajwa na Shirika la...












