CCM Mkoa wa Dar es Salaam yatangaza Majina ya wagombea wa udiwani
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
KATIBU wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Mkoa wa Dar es Salaam,...
Mgombea urais wa Chama cha NLD Doyo akabidhiwa fomu na INEC
Na Mwandishi wetu, Dodoma
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo, leo...
Dk.Samia kuchukua fomu ya Urais CCM kesho
Na Mwandishi Wetu,Dodoma
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuchukua...
CCM yatangaza majina ya wagombea Ubunge mchakato wavunja rekodi-Makalla
Na Mwandishi wetu, Dodoma
BAADA ya kusubiriwa kwa hamu kwa muda mrefu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) hatimaye kimetangaza rasmi majina ya wagombea waliopitishwa kuwania...
Kwa asilimia 99.8 wajumbe wameridhia marekebisho madogo ya Katiba ya CCM
Na Mwandishi wetu, Dodoma
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kikiongozwa na Mwenyekiti wake Dk. Samia Suluhu Hassan, kimepitisha kwa kishindo marekebisho ya Katiba yake ya...
Katibu Mkuu wa NLD Ahudhuria Uzinduzi wa Ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025
Na Mwandishi wetu, Dodoma
KATIBU Mkuu wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo, ameungana na viongozi wa vyama mbalimbali vya...
Uteuzi wa wagombea CCM kufanyika Julai, 28
Na Mwandishi wetu, Dodoma
KATIBU Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema maandalizi ya mchakato wa uchaguzi ndani...
Watiania 1616 wajitokeza NLD Ubunge na Udiwani
Na Mwandishi Wetu, TANGA
CHAMA cha Nation League for Democracy (NLD) kimetangaza idadi ya watia kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani kwaajili ya kuomba ridhaa...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa rai kwa wananchi kujitokeza sabasaba ...
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini imetoa rai kwa wananchi kujitokeza kwenye maonesho ya 49...
Dk.Njama Kuwania Jimbo la Kibamba
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
MTUMISHI wa Idara ya Afya katika Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Dk. Ally Njama, amejitokeza kuchukua...












