Samia aahidi kuimarisha wajasiriamali kupitia mikopo isiyo na riba

Na Esther Mnyika, Zanzibar Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali yake...

Dk. Samia aahidi kukuza uchumi, ajira na utawala bora

Na Esther Mnyika, Zanzibar Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kwamba ndani ya...

Dk. Mwinyi: Amani, umoja na maridhiano ndiyo msingi wa maendeleo Zanzibar

Na Esther Mnyika, Zanzibar Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa sasa wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka...

BOT yang’ara Kimataifa yapewa tuzo kwa huduma jumuishi za fedha

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam BENKI ya Kuu ya Tanzania (CCM) imetunukiwa Tuzo Kuu ya ubunifu katika Huduma Jumuishi za Fedha (Nestor Espenilla...

Dk. Mwinyi aahidi ajira zaidi ya 350,000 kwa vijana Zanzibar

Na Esther Mnyika, Lajiji- Zanzibar Mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuendeleza zaidi miradi...

Dk. Mwinyi aahidi kudhibiti mfumuko wa bei na kuanzisha hifadhi ya mafuta Zanzibar

Na Esther Mnyika, Zanzibar Mgombea urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema endapo...

Mikopo ya Kijani Kutoka CRDB kusaidia wananchi kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam BENKI ya CRDB imetenga kiasi cha shilingi bilioni 171.83 zilizopatikana kupitia mauzo ya hatifungani za kijani (green bond)...

Mziray: Benki ya NCBA imelenga kusaidia jamii

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya NCBA, Alex Mziray, amesema benki hiyo imelenga kuisaidia jamii kuwa na uamuzi...

Majaliwa aipongeza DSE kuongezeka kwa thamani kwa soko hilo

Ni baada ya kuongeza thamani na kufikia shilingi trilioni 21, Julai 2025 Pamoja na kuongeza ukuaji wa hisa kwa zaidi ya asilimia 246 Asema hatua hiyo...

Rais Dk.Samia aipongeza TADB kwa utendaji mzuri

Na Esther Mnyika, Dodoma RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan  ameipongeza Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania ( TADB) Kwa utendaji mzuri ulioleta tija kwa...