Mkurugenzi wa uchaguzi washuhudia ubandikaji wa fomu za uteuzi za Act-Wazalendo

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,Ramadhani Kailima, (kulia) na Mkurugenzi wa Ofisi ya Zanzibar, Adam Mkina wakishuhudia ubandikaji wa...

Matumizi ya Nishati Safi ya kupikia yaongezeka nchini

📌 Mhandisi Mramba asema yamefikia asilimia 20.3 kutoka asilimia 6.9 ya mwaka 2021 📌 Lengo ni kufikia asilimia 80 ifikapo 2034 📌 Apongeza juhudi za Rais...

TBA yadai zaidi ya bilioni 4.5 kodi ya pango kwa wapangaji

Na Florah Amon, Dar es Salaam. WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) inadai zaidi ya shilingi bilioni 4.5 kutoka kwa wapangaji wa nyumba zake ambao hawajalipa...

Ufuatiliaji na tathmini ni nyenzo ya maendeleo-Majiliwa

▪️Ataka watendaji wakuu kutumia taarifa zinazotokana na kazi za ufuatiliaji na tathmini ▪️Aagiza kukamilishwa kwa maandalizi ya Mfumo Jumuishi wa Ufuatiliaji na Tathmini wa kielektroniki Na Mwandishi...

Mvua za vuli 2025 za vuli Wastani hadi chini ya wastani zinatarajiwa ...

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema Mvua zinatarajiwa kuwa za Wastani hadi Chini ya Wastani katika...

Pinda :Sekta ya ufugaji wa nguruwe ni kichocheo muhimu cha usalama wa chakula, lishe...

Na Florah Amon, Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, leo amezindua Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Ufugaji wa Nguruwe, linalofanyika jijini...

Wadau wametakiwa kuchangamkia fursa katika uchumi wa buluu

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam WADAU wa maendeleo wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo katika uchumi wa buluu na kutoa mapendekezo yatakayosaidia Serikali na sekta...

Mhandisi Mramba na JICA wajadili utekelezaji wa miradi ya Nishati

📌 Ni wa usafirishaji umeme kutoka Tanzania hadi Uganda na Dodoma ring circuit 📌 Awasisitiza JICA kuwajengea uwezo wataalam wazawa katika usanifu wa mitandao ya...

Wanafunzi Milioni 1.17 wanatarajia kufanya mtihani wa darasa la  saba kesho 

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam  JUMLA ya Wanafunzi 1,172,279 wa darasa la saba waliopo katika shule za msingi Tanzania Bara  jumla ya shule 19,441 ...

TANESCO yanunua vitendea kazi kuboresha huduma kwa wateja

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Nchini (TANESCO) limenunua vitendea kazi  vya usafiri magari 100,  bajaji 100, na pikipiki 284 ikiwa ...