Serikali imetoa ruzuku ya asilimia 20 hadi 50 kwenye mtungi ya gesi laki...
📌 Asema lengo ni kupunguza gharama na kuhamasisha Nishati Safi ya Kupikia
📌 REA kusambaza majiko banifu 200,000 kwa punguzo la hadi asilimia 75
📌 Baada...
Wiki ya Azaki kufanyika Juni 2 hadi 6 mwaka huu Arusha
Dar es Salaam
MAADHIMISHO ya wiki ya Asasi za Kiraia (Azaki) kwa mwaka 2025 yanatarajiwa kufanyika kuanzia Juni 2 hadi 6 Jijini Arusha yanayolenga...
CWT kufanya mkutano mkuu Mei 28 na 29 Dodoma
*Mkutano utahusisha uchaguzi wa viongozi wa CWT Taifa
Mwandishi wetu, Lajiji
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimetangaza kufanyika kwa mkutano mkuu wa chama hicho Mei...
Tanzania, Namibia kukuza ushirikiano wa kiuchumi, nishati na biashara
Na Esther Mnyika, Lajiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Namibia zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, hususan...
Kamati Mpya ya ukaguzi Wizara ya Nishati yafanya katika miradi ya umeme Mkoani Pwani
📌 Yapongeza Serikali utekelezaji miradi ya umeme
Pwani
KAMATI mpya ya Ukaguzi ya Wizara ya Nishati imefanya ziara katika miradi ya umeme mkoani Pwani ili kujionea...
Majaliwa: Watanzania tuendelee kutunza mdudu nyuki
▪️Asema lengo ni kuwa na Taifa lenye uhakika wa chakula na uchumi imara▪️Azindua mpango wa kuendeleza sekta ya ufugaji nyuki kwa Tanzania iliyo bora
Dodoma...
Majaliwa: Tumejizatiti kupunguza changamoto katika sekta ya elimu
Mwanza
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan imejizatiti katika kupunguza changamoto mbalimbali zinazowakabili...
JAB yaonya vyuo na watu wanaojaribu kuingia kweye tasnia ya habari kwa kugushi vyeti
Na Esther Mnyika, Lajiji
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imetoa onyo kali kwa vyuo na watu wote wanaojaribu kuingia kwenye taaluma ya...
Rais Samia awaonya wanaotaka kuvuruga amani
Na Esther Mnyika, Lajiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amezielekeza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
Miradi ya maji inaendelea kujengwa nchini kote-Majaliwa
Mwanza
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan inaendelea na ujenzi wa miradi...